Habari za kazi wataalam wa sheria kwa jina niite mtu nguvu napatikana katika mkoa wa kigoma. Kuna swala moja la kisheria nilikua naomba ushauri baada ya 2003 baba angu kushinda kesi yake katika mahakama ya rufaa iliyokua inahusu kubomolewa nyumba na tajiri flani ila mpaka sasa hajakabidhiwa haki yake na cha kushangaza tulivyoongea na mkuu wa wilaya alitujibu kua hata twende wap hatuwezi pata haki.Na nilikua naomba ushauri wa kisheria nn nifanye mana mpaka tunaishi kwa shida.