bintishomvi
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 1,164
- 833
Wateja wenyewe wanafika bei ya kuniondoa kabisa mjiniDah! Itabidi tu ukauze hako kashamba kako upate working capital... Hakuna namna sasa...
Ingekuwa vizuri zaidieleza kwa kina yaani unanunua chupa unasaga kwa Mashine maalum then.....
eleza kwa kina au ni- inbox tuongee zaidi.
Nashukuru kwa ushauri wako .kunachangamoto ilinikuta ndani ya biashara na nje ya biashara , lakini niliitatua ndiomaana niliyumba kiuchumi na kibiashara .fanya haya
1.Ondoa mawazo ya kushindwa kwenye fikra zako.
2.ili kupata mahali pa kufanyia kwanini usifanyie hapo hapo nyumbani kwako.
3.Anza kidogo kidogo usiharakie kwenda haraka utapata hasara.
4.Weka tabia ya kuweka akiba hii itakusaidia sana maana kanuni ya mikopo siku zote ni kuwa unakopa kuongezea mtaji tu yaani 75% ya fedha ni zako na 25% ni za mkopo
itakua financingUmekwama wapi sasa mbona hufunguki unahitaji nin?
Tutahanzia tatizo maeneo ya kusagia wanatoza pesa nyingi na hiibiashara inachukua eneo kubwa kidogo na isiwe maeneo ya watu maana machine inatoa kelele sana .Vp kama mshirika mpya akiamua ku inject 5m kwenye hiyo biashara, je utaweza kuingia nae mkataba wa kuwa shareholder na mkaanza biashara au ni mpaka itimie hiyo 7m?
Kwa uzoefu wako na hii biashara sales turnover ya mwezi ni sh ngapi?
Kwa mwezi mauzo yako ni kiasi gani?Tutahanzia tatizo maeneo ya kusagia wanatoza pesa nyingi na hiibiashara inachukua eneo kubwa kidogo na isiwe maeneo ya watu maana machine inatoa kelele sana .
Wastani wa kila siku 2 kupata tani moja na kusaga zaidi ya hapo ni juhudi yako tu kujituma kutafuta mzigo na kuhalakisha kununua na kupeleka eneo la kusagia kwa haraka na mengine Mengi ukiwa eneo la tukio na ukionyesha nia ya kuitaji tufanye kazi imladi usiwe mnyanya wakuchezea uchafu .Kwa mwezi mauzo yako ni kiasi gani?
Umesahau kujibu swali hili mkuu.
Basi mkuu, ktk safar yako hiyo ya kukopeshwa hela ni ngekushuri huende benk Plc Kabisa maana wengine wakikopesha hela hutoweza kurudisha kamwe pesa zao ni za mazingara!Naitaji pesa ya kuendeleza biashara nipate eneo la biashara na mtajj wa kununua bidhaa yaani hesabu yake kama ml 7. Niko tayari kuweka rehani nyumba yangu ambayo haijaisha ipo maeneo ya Kimara mwisho hata kwa makubaliano yoyote ilimradi yawe ya khaki kwa pande zote mbili ninamaanisha tunaenda kwa mwanasheria Niko tayari kulipa riba.