Masters of Entomology.Habari wapendwa hope wote ni wazima,
Kama kichwa kinavojieleza Mimi naitwa timoth nimemaliza Bsc in agronomy SUA mwaka huu Nina gpa ya 3.8 nataka niunganishe master naombeni mnisaidie wakuu nisome master ipi ambayo itanifa mnisaidie kwa hilo wakuu
Hapo hapo SUAHabari wapendwa hope wote ni wazima,
Kama kichwa kinavojieleza Mimi naitwa timoth nimemaliza Bsc in agronomy SUA mwaka huu Nina gpa ya 3.8 nataka niunganishe master naombeni mnisaidie wakuu nisome master ipi ambayo itanifa mnisaidie kwa hilo wakuu
Zote nilizotaja hapo juu ziko related na ulichosoma ila kama ipo specifically Msc. Agronomy chagua hiyo.Hapo hapo SUA
Unaweza kusoma course zifuatazo
Msc. Crop science
Msc. Agricultural economics
Msc. Agricultural education and Extension
Msc. Soil science and Land management
Mphil. Pest management science ( hii nadhani inakuwa offered kwa research tu)
Unaweza ku download prospectus pia ukasoma admission requirements za course tofauti zinazohusiana na kilimo. Ila hakikisha unatoka na GPA ya 4.0 kwenye hiyo masters yako.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Shukrani Sana kakaZote nilizotaja hapo juu ziko related na ulichosoma ila kama ipo specifically Msc. Agronomy chagua hiyo.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Unganisha dogo, ukiingia mtaani hata ukipata kazi kurudi kuanza kuxoea mikiki ya darasani inakuwa ngumu kidogo.Kaka imetokea fulsa nitaiacha kisa sijaajiliwa? Asante pia
Unganisha dogo, ukiingia mtaani hata ukipata kazi kurudi kuanza kuxoea mikiki ya darasani inakuwa ngumu kidogo.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Habari wapendwa hope wote ni wazima,
Kama kichwa kinavojieleza Mimi naitwa timoth nimemaliza Bsc in agronomy SUA mwaka huu Nina gpa ya 3.8 nataka niunganishe master naombeni mnisaidie wakuu nisome master ipi ambayo itanifa mnisaidie kwa hilo wakwa
SUA Prospectus hii hapa chini itakuongoza KWA masters ulizotajiwa hapo juu. .....KILA la kheri mkuu
Uko sahihi na hapo nimemshauri 2.Hapo hapo SUA
Unaweza kusoma course zifuatazo
Msc. Crop science
Msc. Agricultural economics
Msc. Agricultural education and Extension
Msc. Soil science and Land management
Mphil. Pest management science ( hii nadhani inakuwa offered kwa research tu)
Unaweza ku download prospectus pia ukasoma admission requirements za course tofauti zinazohusiana na kilimo. Ila hakikisha unatoka na GPA ya 4.0 kwenye hiyo masters yako.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Naona anataka kuwa lectural.Uko sahihi na hapo nimemshauri 2.
1. Crop science. Atleast inaendana na degree yake ua kwanza. Hii pia itamuwezesha kupata ujuzi wa mazao maana mpaka sasa ana ujuzi wa udongo kwenye kilimo.
2. Soil science. Hii nadhan inaendana moja kwa moja na agronomy. Sema ukisoma hii utakua pure soil sientist kitu ambacho si kibaya pia!
All in all, crop science naona ndio bora kwako!
NB: Soma lakin unless uwe unataka kurudi chuo otherwise anza kuangalia namna ya kujiajiri..
Uko sahihi mkuu. Hiyo course yake pembeni na kuwa lecturer option zingine za ajira ni ngumu kidogo ndo maana ajitahidi gpa ya masters ifike 4.0Uko sahihi na hapo nimemshauri 2.