Habari za mda huu wadau wa JamiiForums kama mada inavyojieleza apo juu naomba kuwasilisha kisa cha kweli ili kuweza kupata mawazo na michango tofauti x2 kutoka kwenu.
Mimi ni kijana wa kitanzania umri 30+ katika harakati za kutafuta maisha nimeangukia kwenye kusoma na sasa namalizia shahada yangu ya uzamivu katika nchi moja ya Europe, pia nina familia namanisha mke na watoto 2 nipo huku napambana mwenyewe ikiwa familia ipo nyumban Tanzania ila kama baba na mume nahakikisha wanapata huduma zote tena kwa wakati wote namanisha zile basic needs kwa binadamu.
Ila hivi karibuni nimegundua mke wangu amenisaliti na mtu ambae tunafahamiana kabisa na yeye ananijua mpaka na familia yake naifahamu. Nilijaribu kumbana sana wife nimegundua kweli walikuwa na mahusiano, inaonekana ndio walikuwa wanaanza yaan kama 2 or 3 months.
Usiniulize nimegundua vipi, mbinu zangu za kiintelejesia nimejua hilo, ila kupitia chat zao na mambo yao niliyoyaona ni bado hawajakutana kimwili (Sex), nina uhakika na hicho kwa sababu nazijua mimi wapi nimbane mke wangu aseme ukweli na huo ndio ukweli.
Ila kiukweli huyu mwanamke nilikuwa namuamini sana sana kuliko chochote kile ila hatma yake ndio hivyo
Sasa wadau mnishauri kitu, mimi nina siku chache kutua bongo baada ya kumaliza masomo yangu. Sasa kichwani kwangu nina mambo matatu naomba mnishauri
1- Nitakaporudi nataka nihakikishe namtafuta mke wa jamaa kwa gharama zozote zile niwe naye kwenye mahusiano na yeye aone uchungu wa mke maana kwa hela ya kumuhadaa tu ninayo ya kutosha.
2- Nataka kuachana na mama watoto wangu maana simuamini tena katika maisha yangu yaani hata anambie samahani au nakupenda naona ananitukana tu, yaani simuelewi tena hata kama hajasexy nae ila simpendi tena.
3-Huyu jamaa nimshtaki maana nina ushahahidi wote wa kumbana na hawezi kuchomoa, nina kila evidence ila sijui kama kuna kesi ya aina kama hii Tanzania
Wadau naomba maoni yenu katika hili ili nifanye maamuzi yaliyo sahihi
Ahsanteni sana