Naomba ushauri kwa wataalam kuhusu MYCOTA POWDER

Sal pa

JF-Expert Member
Feb 5, 2023
213
314
Habari JF Member ! Nina sumbuliwa na muwasho mkali kwenye sehem za siri {pumbu}. Je, naweza nikatumia Mycota Powder kunyunyizia nyeti kwaajili ya kupambana na fangas ?
 
Habari JF Member ! Nina sumbuliwa na muwasho mkali kwenye sehem za siri {pumbu}. Je, naweza nikatumia Mycota Powder kunyunyizia nyeti kwaajili ya kupambana na fangas ?
muone daktari to be on the safe side. Lakini unaweza kutumia s long as ni scrotal skin application...... scrotal skin na siyo kwenye kichwa ya penis
 
Muone daktari haraka iwezekanavyo,na hiyo mycota achana nayo kwanza,usije unguza korodani zenyewe ukakosa mwana na maji yamoto.
 
Kuna vile vidonge 3 vya pink wamama uwa wanaviweka sehem za Siri vina mAfuta mafuta, vinauzwa elfu 10.

Chukua pasua kimoja, jipake sehem yote inayowasha, usioshe mpk masaa 2 yapite.

Unatumia 1 kila siku, ndani ya siku 3 Utakua umemaliza dozi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom