sokoMchizi
Member
- Oct 15, 2022
- 50
- 209
Habari za wakati huu wakuu,
Nina Mdogo wangu Amemaliza certificate ya Ualimu Tabora Teachers college Grade A , ila Nilitaka ajiendeleze apate Diploma Ila kwa bahati mbaya sijapata chuo kinachotoa Diploma ya ualimu wa shule ya Msingi.
Ninaomba ushauri ni chuo gani anaweza pata diploma inayofanania na ualimu wa primary au aweze kuchukua hatua gani kujiendeleza