Tulipoteza mtoto wa miezi 8 iliopita, mke wangu wakati ananyonyesha alikuwa hapati hedhi (najuwa ni kawaida ) ila hivsasa hanyonyeshi miez 8 sasa ila hedhi imegoma kutokea kabisa.
Imesemwa kuwa ni tatizo la homon na akapewa vidonge vya kutumia mwez mzma lakin hakukuwa na unafuu.
Nilimpa dawa asili fulani ikamsaidia akapata hedhi ila mwez ulofata haikutoka tena.
Naomba ushauri hili suala linatusumbua sana especially tuko kwenye harakat za kutafuta mtoto.
Natanguliza shukrani