Naomba ushauri juu ya injini 1KD ya Land cruiser Prado 120

Afrolink-Tz Consult Ltd

JF-Expert Member
Feb 25, 2018
424
950
Habari zenu,

Naomba ushauri juu ya injini ya gari tajwa hapo juu 1KD ya gari aina ya Toyota Land cruiser prado (120) nahitaji kununua.
Sina uzoefu na gari zinazotumia diesel.

Hivyo naomba mwongozo juu ya uimara wake, changamoto zake.

Suala la mafuta kutumia sn au laa sio ishu kwa sababu maisha lazima upambane ili utumie vitu vizuri.
 
Ni engine nzuri sana ya diesel. Performance nzuri, fuel consumption nzuri na pia ipo very durable.
Ukichukua prado 120 yenye 6 speed manual transmission utaenjoy sana hasa safari ndefu
 
Ni engine nzuri sana ya diesel. Performance nzuri, fuel consumption nzuri na pia ipo very durable.
Ukichukua prado 120 yenye 6 speed manual transmission utaenjoy sana hasa safari ndefu
Ni ya Dubai, Singapore au Japan?
Ya Singapore Gearbox zake sio serviceable
Ya kutoka Dubai wao wanachukua 2nd hand toka Japan wanaimodify halafu ndio wanauza Utakuta changes kwenye body kit na interior decoration (full option) kwenye vitu ambavyo usingepata ikitoka Japan
Tank la diesel hawana long range tanks wanaishia Lita 83
Kwenye hiyo Gari utapata kila starehe uliotamani
Speed
Confortability
Luxurious accommodation
Engine services usiweke oil za mtaani inatumia Castro Oil Lita 7
Jitahidi upata 1KD kavu
Hizi 1kd D4-D ni engine nzuri sana ila Mafundi wa kibongo wanaweza kufanya uichukie Gari kabisa sijui kwanini hawataki kusoma Magari.
 
Back
Top Bottom