Naomba upite hapa tufundishane haya...

shabaan Dogo

Senior Member
Apr 27, 2014
197
79
Hari zenu wakuu,

Hapa Tanzania kuna makabila mengi na cha kujidai zaidi wote tunaishi kama ndugu kwa upendo na amani.

Na tunamambo mengi ya kufundishana kwa leo naomba tufundishane maneno haya kila mmoja acomment kwa lugha yake.

Nakupenda kutoka moyoni mwangu kipenzi cha roho yango



Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…