Naomba updates za Interview ya TANESCO

nami nasubiri mrejesho mkuu kwa sababu kuna baadhi ya wilaya na mikoa washaanza kuitwa kupiga interview
 
nami nasubiri mrejesho mkuu kwa sababu kuna baadhi ya wilaya na mikoa washaanza kuitwa kupiga interview
Hapa ndo huwa nashangaa sana nyie Vijana mnatafuta kazi halafu mnasikiliza stori za kwenye vijiwe vya kahawa, Mimi niko Tanesco Mwanza hayo matangazo 2 ya Tanesco moja Deadline ni tareh 8 na lingine deadline ni tarehe 13, Sasa wewe leo tarehe 6 unaanza kuzungumzia habari za kuitwa??, kisha unaendelea na kusema kuna baadhi ya watu wameshaitwa kwa baadhi ya wilaya/mikoa, wilaya ipi hiyo? Hakuna kitu kama hicho ndugu hapo ndio huwa mnafeli hata interview unajibu kulingana na stori zenu za mitaani sio kulingana na Swali linataka nini! Vijana jifunzeni kuwa patient/ toeni muda wa mambo yenu kushughulikiwa, na isiwe kwenye kazi tu hata kwenye maisha muwe mnatoa muda/nafasi ya processing hapo mtaona matunda siku zote. Mfano Mwanza kama main Zonal office na viunga vyake bado. Acheni stori za vijiweni vijana.
 
Mkuu hii ya sasa ivi ni ina uhitaji wa haraka, ndio maana unaona hata application zimeruhusiwa kuombwa Kwnye mkoa/Zonal husika, Tanesco hawafanyagi Application kwenye mikoa/Wilaya/Power plant zao moja kwa moja; Hivyo wamefanya ivi ili kuwahisha mchakato mzima, watu wapatikane watu wakaongeze nguvu. So usikariri mkuu
 

mkuu vp kuhusu internship....kuomba unafuata utaratibu ganiii....maana wengine tumemalza diploma lkn vyuo vyetu hv hawajatoa vyetiii na tanesco hawa ajiri bila cheti....
 
sawa....kwa sasa sina mda tena wa kuomba kazi zenu sababu mlizidi ubabaishaji
 
Point
 
Mkuu kulikua na deadline nyngne tar 25/5/2017 na nyngne tar 30/5/2017 kwa Dar lakin. So ndo mana nmeulza coz mda ushapita kwa upande wa dar, then Mwanza na mikoa mingne bado had tar 8 mpaka 13,So usiwakosoe watu kihvo ndugu yang
 
MSALIMIE RBAO yule wa pale kama unaenda pepsi mwambie anipm no yake
 
Vijana na stoli za vijiwe
 
Mkuu kulikua na deadline nyngne tar 25/5/2017 na nyngne tar 30/5/2017 kwa Dar lakin.
Sawa mkuu, nimekupata kama ni Dar uhaba sio mkubwa sana kama ilivyo kwenye zones, huenda waka-delay ( sina hakika na uhitaji wao kama ni wa haraka kwa kiasi gani) ila kwa zone nikwambie tu hakutakuwa na ucheleweshaji sana, hsa za kanda ya ziwa.
 
Sawa mkuu, nimekupata kama ni Dar uhaba sio mkubwa sana kama ilivyo kwenye zones, huenda waka-delay ( sina hakika na uhitaji wao kama ni wa haraka kwa kiasi gani) ila kwa zone nikwambie tu hakutakuwa na ucheleweshaji sana, hsa za kanda ya ziwa.
Ni kwel kabsa Mkuu tuzd kujuzana wale watakaobahatka kuitwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…