Ndugu mliopo humu JF
Naomba ufafanuzi wa hizi nafasi na kazi zake na zinatumika sehemu gani..
1. CEO---chief executive officers wana apply wapi na kazi zao ni nini
2. Directors---hawa wakurugenzi wana majukumu gani
3. Managers----hawa wanatumika wapi
4. Chancellors....kazi zao ni zipi
5. President.....hwa nao ni aje
6. Chief Engineer...
7.
8......unaweza ongezea
kwa vile kuna maeneo wakuu wa vitengo na taasisi fulani au halmashauri wanaitwa kwa vyeo/majina hayo
Ahsante