The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 2,249
- 4,110
Mimi ni Mkristo Mkatoliki lakini ni freemind,au open mind,freemind ni mtu asiyefungwa na mipaka ya ufahamu wa eneo moja kwa maana nyingine ni msaka maarifa kwa maana elimu ni bahari.
Elimu Zipo za aina nyingi maandamu usitoke nje ya reli elimu ni sawa na miruzi mingi chukua ile ikufuayo.
Nirudi kwenye mada.
Ukisoma historia ya tamaduni za watu wa mashariki hata zetu waafrika kabla ya ujio wa utawandawazi na maendeleo jamii nyingi ziliishi ndani ya upeo wa mfumo wao tu kila jamii ilkuwa na mila na desturi zao mfano sisi waafrika hatukuwa na dini kabla ya ujio wa wakoloni bali tulikuwa na mila na desturi kama tulikuwa na dini, dini ya mwafrika ni ipi?
Zamani ilikuwa ni desturi au ni lazima kila mwanamke aolewe KAZI kubwa ya mwanamke ilikuwa ni kuolewa hakuna mwanamke aliyekosa mke tena bikira si Africa si uarabuni.
Ukengeufu uliiingia baada kuanza maingiliano ya watu toka pande mbalimbali za dunia.Ndipo panaleta mabadiliko mbalimbali kwenye jamii ikiwemo elimu na maarifa mbalimbali katika njancha zote,ndipo zikaibuka movement mbalimbali zikiwemo hizi za usingle mama, women empowerment nk zikawafanya wanawake wasione umuhimu wa kuolewa.
Zamani jamii za kale zilioa watoto wadogo hata mimba hili la kuchumbia mimba hata wamasai wanafanya mtoto akizaliwa wa kike anaendelea kulelewa na wazazi wake hadi akifika umri maalumu ambao ilikuwa ni kuanzia miaka 14 hadi 16 inategemea na upevukaji wake anaenda kwa mumewe.
Zamani wanawake waliolewa baada ya kuvunja ungo ambayo ilikuwa kwenye miaka hio hio under 16 thus zamani wanawake walizaa mapema sana.Kwa sababu hayakuwepo haya mambo ya sijui shule, kuajiriwa, uzazi wa mpango, kusafiri nje ya jamii yako nk.
Maendeleo ya technology yalileta muingiliano wa tamaduni mbalimbali ndizo zikajaua baadhi ya Mila na tamaduni za jamii ya kale.
Leo ionekane ni kosa la jinai au ni ubakaji kwa mtu kuoa mtoto au kuchumbia mimba hii ni kileo na si kizamani.
Kwa sababu zamani Koo zilioana ikiwemo ndugu wa karibu ili kudumisha undugu hivyo ilijulikana mabinti wa ukoo fulani ni lazima wakaolewe na ukoo fulani watu walioana kwa kufahamiaka thus ikawa rahisi mwanaume kufanya booking ya mke akiwa hata Bado ni mtoto na ukalipia kabisa mahari akiendelea kulelewa kwao hadi atakapovunja ungo ndipo aliruhusiwa kwenda kwa mumewe.
Kipimo cha zamani cha binti amekuwa tayari ilikuwa ni kuvunja ungo.
Kwa akili ya kawaida mwanaume wa miaka 40 unawezaje muingilia binti wa miaka tisa itapenyea wapi maumbile yake Bado hayajakomaa zaidi ya kumchanana tu.
Hio hoja ya Mtume wa Mwenyezi Mungu kwamba alimbaka binti ni nadharia tu ya watu layman wenye nia tu ya kudhalilisha na kutweza Imani za wengine.
Hakuna ushahidi wowote kwamba bi Aisha alianza kuingiliwa angali mtoto bali ni baada ya kuvunja ungo. Nadharia ya kuoa watoto wadogo note kuoa na kuingilia ni vitu tofauti, unaweza ukamuoa mtoto akiwa kwao hadi baada ya kuvunja ungo umri sahihi ndipo alikabidhiwa kwa mumewe, kumbuka zamani wanawake waliolewa wakiwa bikira kwa sababu waliolewa mara tu baada ya kuvunja ungo ili kuwaepusha na uzinzi.
Kwa layman watu wenye level ya kwanza ya ufahamu wao ndo ukimbilia kubeba maana na sio kutafsiri maana.
Biblia na Quran vimeandikwa kwa kutafsiri maana na sio kubeba maana.
Ipo tofauti ya kubeba maana na kutafsiri maana ndo maana layman hawawezi kuielewa Biblia na Quran hivi vitabu ni kwa ajili ya wiseman watu wa level ya pili ya ufahamu.
Kwani msemo wa mtu mzima kumwambia mtoto hata mbele ya wazazi wake neno "mchumba wangu"ni muendelezo ule ule wa watoto wadogo waliolewa.
Haya mambo yamekuja futika baada ya Sheria ili kuzuia uharibifu wa watoto toka kwa mafataki.
Mila na tamaduni zimekuwepo kabla ya uwepo wa Sheria. Nakaribisha vichwa maji tugongane kwa hoja kama somo la historia ya asili ya mila, desturi na tamaduni za jamii ya waarabu au waafrika wa zamani, itakuwa ni ubishani tu.
Asante