Nilikuwa nataka kutafuta kazi kwa njia ya mtandao katika mashirika haya;
1.TPC Moshi
2.Pepsi Arusha
3.Serengeti Moshi
4.SBL Arusha
5.Idara ya Maji Moshi
6.Idara ya Maji Arusha
Naomba kuweza kupata email zao ili niweze tuma maombi, kwa yeyote anae fahamu maana nimetafuta bila mafanikio.
Asante.