Naomba Msaada wa Sanduku la Posta

Super Charged

JF-Expert Member
Jan 12, 2020
937
1,687
Habari Wana Jamvi,

Natanguliza Shukran. Nakuja Kwenu Kama Familia Yangu/Jamii Yangu. Naomba Msaada Mwenye Sanduku La Posta Ambalo Lipo Active Nitumie Kupokea Document Yangu Mara Moja tu. Mimi sio Mtumiaji wa Sanduku la Posta na Wala sijui sana kuhusu posta Lakini Imenibidi nitumie Kipindi Hiki.

Naomba Kusaidiwa anwani Sio Maelekezo ya Kufungua Kwani natumia mara Moja tu Imenibidi. Nawasilisha Kwenu Waungwana wenye Roho na Mioyo safi ya Kizalendo.

Mimi Ni Mkazi Wa Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom