Naomba msaada wa masuala ya kifedha

bway hermit

JF-Expert Member
Jan 8, 2017
1,330
2,331
Habari zenu ndugu
Naomba kujua je $98.00 ni sawa na shilling ngapi kwa pesa ya Tanzania?

Pia ni jinsi gani ya kutuma pesa kwa money gram?
Asanten.
 
$ 98 KWA HELA YA KIBONGO NI 213090 (kwa exchange rate ya 2235)

Kuhusu money gram mi sio mtaalamu sana ila najua baadhi ya benki wanatoa hiyo huduma..nenda nadhani watakuelewesha kiundani zaidi (Exim...stanbic....diamond trust....crdb na nyinginezo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…