Naomba msaada wa kutajiwa vyuo vinavofundisha ufundi wa malori kama Scania, Man, Iveco, nk.

Harris_aka47

New Member
Feb 5, 2025
1
1
Habari ndugu,

Samahani naomba mwenye kujua ni vyuo gani Tz vinafundisha ufundi wa magari makubwa ya mizigo na gharama zake, mimi niko Dodoma, kwahiyo naomba nitajiwe vyuo ambavyo haviko mbali zaidi kuvuka mikoa 3 mfano chuo kiko geita sijui, tafadhali guys naomba msaada.
 
Sijawahi sikia hiyo ila kwa ninavyofahamu, vyuo vya ufundi wanatoa basic tu ila mziki wenyewe utakutanana nao kazini/field na mambo hayatakuwa magumu sana kwasababu una basic....
 
Back
Top Bottom