Naomba msaada wa kupata mawasiliano na connection ya kupata bidhaa za kuuza vya stationary

Rdj Shibo

Member
Jan 5, 2018
80
53
Naomba msaada wa kupata mawasiliano na connection ya kupata bidhaa za kuuza vya stationary

Naomba hili kwakuwa nipo kwenye mpango wa kufungua Stationary

Natanguliza Shukrani
 
Nyosha Maelezo mkuu. Pwani Nd wapi sas. Na mkoa WA pwan wenyew Una sehem nying. Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo, Rufiji, Mafia. Hata alioko pemebezon mwa bahari atasm yup Pwani pia. Una shida na haujanyooka hio biashar utaiwez kweli.
 
Niandikie mchanganuo wa bidhaa unazohitaji nami nitakupa bei ya kila kimoja wapo..(Disc included)

Karibu..
 
Back
Top Bottom