Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Naomba Msaada wa kujua Tairi Imara na Bora na zinadumu ili kufunga kwenye Gari HARRIER 240G ?
Matairi niyatakayo ni Size 225/65/R17 na Ziwe za KASHATA KUBWA
Msaada Tafadhali.
Matairi niyatakayo ni Size 225/65/R17 na Ziwe za KASHATA KUBWA
Msaada Tafadhali.