Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Wadau naomba Msaada wa kujua Aina bora ya Tairi Size 225/65/R17.
Bei na Maduka yalipo kama itawezekana
Bei na Maduka yalipo kama itawezekana
Asante sana mkuuKuna Dunlop ya South Africa kashata kubwa inauzwa 350000
Kuna Bf Goodrich ya USA kashata kubwa inauzwa 720000
Kuna Goodride ya China inauzwa 235000
Duka lipo Kariakoo mtaa wa Swahili na Twiga
Mawasiliano 0626 799329
Nilinunua Goodyear mwaka juzi mpaka Leo ni mpya kabisa na nimeshapiga nayo safari za mkoa za kutosha ila sikumbuki bei.Nilinunu pale auto express vingungutiWadau naomba Msaada wa kujua Aina bora ya Tairi Size 225/65/R17.
Bei na Maduka yalipo kama itawezekana