Naomba msaada wa kitabibu

Jyhamah Juma

Senior Member
Mar 2, 2014
162
77
Ndugu zangu wana jf Nina mdogo wangu kila akilamba asali baada ya masaa matano anaanza kutapika na kuharisha kwa masaa hata 7 hivi,embu nambieni&nisaidieni atakuwa na tatizo gani huyu kiumbe wa mwenyezi Mungu?
 
Solution ya haraka kama anakula asali kama kiburudisho aachane nayo kwanza.
 
Hiyo ni aina ya mzio (allergy reaction) wala usihofu. Watu wengi Asali huwa inawakataa kwa reactions tofauti. Kuna wengine huwa wanawashwa na kuvimba. Na kuna wengine huwa wanabanwa kiasi kushindwa kupumua. Kuna wengine huwa wanaharisha na kutapika Kama mdogo wako. Mimi binti yangu akilamba asali huwa anawashwa na kuvimba. Cha msingi ni kuacha kutumia Asali kwa mtu mwenye mzio wa aina hiyo.
 
Duh,pole sana ndugu,ila sio shida sana.Mimi nina kijana ambaye hagusi wala kula kisamvu kabisa.Akila tu macho yanawasha na kuvimba kabisa.Mke wangu naye alikuwa hali asali,ila asiku hizi anakula.Alikuwa akila tumbo linamuuma sana.

Ni kwamba vyakula vina natural nutritive chemicals ambazo miili inaweza ika-reject.Inaweza kuwa arlegy au effect ya moja kwa moja kwenye digestive system.Hii sio ajabu,tunatofautiana.Dawa ni kuacha tu kula asali,ingawa it is the best food.
Ndugu zangu wana jf Nina mdogo wangu kila akilamba asali baada ya masaa matano anaanza kutapika na kuharisha kwa masaa hata 7 hivi,embu nambieni&nisaidieni atakuwa na tatizo gani huyu kiumbe wa mwenyezi Mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…