Wakuu naomba mwenye uzoefu wa kusafirisha mizigo kutoka Nigeria anisaidie kampuni inayosafirisha na gharama ni kiasi gani Kwa normal goods.
Natanguliza shukurani
Nilitaka misema hvyk hvyoUnakaribia kupigwa na wanaijeria wewe.
Ndio tushasema hivyo. Kazi kwako.Sio wote wapigaji
kusafirisha mizigo kutoka
1kg = US $28Normal goods, usafiri wa ndege . mzigo mdogo around kilo kumi.kupokelea ni Dar es salaam
Ukipigwa uje kutupa mjereshoWakuu naomba mwenye uzoefu wa kusafirisha mizigo kutoka Nigeria anisaidie kampuni inayosafirisha na gharama ni kiasi gani Kwa normal goods.
Natanguliza shukurani
Normal goods, usafiri wa ndege . mzigo mdogo around kilo kumi.kupokelea ni Dar es salaam
Shukurani mkuu1kg = US $28
Mzigo utaniletea Mji wa Ikeja ( MMI Airport Road)
- Na utafikishwa Dar.
- Utapewa tracking number mzigo kabla ya uondoka Nigeria
- NB: Mzigo ukifika nchini utafuta taratibu zote za clearance na utawajibika kulipa kodi TRA.