emanuel joseph
Member
- Jan 4, 2014
- 35
- 11
habari,ninashida kidogo hapa na huawei y520-u22, tatizo ni kwamba nikiiwasha inaishia pale kwenye logo ya huawei na haifany chochote, nikijaribu kuhard reset kwa button combination inafika mpaka sehemu ya ku wipe data then inaleta "error:cannot get phone encrypt state". nimejaribu mpaka kuiflash kwa sp flash tool kwa kuweka firmware nyingine lakini tatizo bado lipo vile vile, msaada plz