mr mkwawa
Senior Member
- Jul 29, 2018
- 145
- 293
Habari kwenu wanajf natumaini wote ni wa wazima . Dhumuni la kuandika makala hii nikuomba ushauri mzuri kutoka kwenu .
Mimi ni kijana niliyemaliza kidato cha 6 mwaka jana na pia ufaulu wangu ni DDE katika mchepuo wa CBG . Nasoma Kozi inayoitwa bachelor of local government management . Hii Kozi niliapply baada ya kudahili vyuo tofauti bila mafanikio ndio nikamua kujaribu hii koz na nimepata .
Kwahiyo naomba ushauri kutoka kwenu je hii Kozi ajira zake ni zipi na upatikanaji wake wa ajira ukoje .
Msaada kutoka kwenu wakubwa .
Sent using Jamii Forums mobile app