Naomba mchanganuo wa gharama za ujenzi wa uzio kwa kutumia wire

pavel

JF-Expert Member
Aug 19, 2015
215
99
Habari za muda wakuu,

Naomba kupata mchanganuo wa gharama, kwa mwenye uzoefu.

Kiwanja kina ukubwa wa 1050sqm, je ni wire kiasi gani(na ghalama yake) na nguzo kias gani, zinawez kutosha kukamilsha uzio huo..

Naomba pia na makadirio ya fundi kama itawezekana.

Nawasilisha wakuu! Naomba msaada huo
 
Habari za muda wakuu,
Naomba kupata mchanganuo wa ghalama, kwa mwenye uzoefu.

IMG_8064.jpg
 
Unauliza gharama au ''ghalama''. Kuna wire za aina nyingi, wire za aina gani? Nguzo za aina gani? Fundi ''Maiko'' au fundi gani? Uko wapi? Swali lako unaweza kulijibu mwenyewe kwa kufanya research kidogo sana. Urefu wa wire utautafuta kwa kutumia ukubwa wa kiwanja.

Idadi ya nguzo utaipata kwa kutumia ukubwa wa kiwanja. Ukiwa na hivyo viwili, nenda dukani ulizia bei ya mita moja ya wire unaotaka, zidisha. Idadi ya nguzo hivyo hivyo. Chukuwa fundi, mwonyeshe kazi, mwambie akuambie bei.
 
Shukran sana mkuu kwa maelezo yako mkuu,
Ila nltaka nijue roughly tu, ya gharama .. ya uzio kama huu
IMG_8067.jpg

Kwenye kiwanja chenye ukubwa wa 1050sqm .. maana sina ktu ila ndio nataka nijipange kwanza kabla ya kuanza kuzunguka madukani
 
Habari za muda wakuu,
Naomba kupata mchanganuo wa ghalama, kwa mwenye uzoefu.

Kiwanja kina ukubwa wa 1050sqm, je ni wire kiasi gani(na ghalama yake) na nguzo kias gani, zinawez kutosha kukamilsha uzio huo..

Naomba pia na makadirio ya fundi kama itawezekana.

Nawasilisha wakuu! Naomba msaada huo
Ndugu ungetaja hata upo wap naweza kukutajia bei za njombe ambako gogo buku jelo kumbe upo dar vilevile kwenye waya upo wap vilevile kuchima mashimo udongo wa aina gani utakuja kulopokewa bei humu ukimbie
 
Hahahaha kweli sikusema eneo.
Npo dar ndugu, kigamboni
 
Back
Top Bottom