Kuna mdogo wangu baada ya kukaa na mke mwaka mmoja alienda kupima mbegu za kiume spam majibu yakawa MICROSCOPIC EXAMINATION.
Count......2h/thousan
Motility.....2% of motile with slow foward progressive,98 of.
Doct amempa dawa aina ya Ova-mit ameze nusu kwa muda wa miezi miwili na daw Testosterone Undecanoate ameze moja kwa miezi miwili.
Naomba kuuliza kazi kubwa za dawa hiz mbili na utendaji kazi na pia nataka kujua chakula bora cha kutumia ili kuondokana na tatizo hilo kwani hivi sasa ni mtu wa kuwaza tu .
Naomba ufafanuzi na ushauri wenye manufaa.