Naomba kwa wenye ushuhuda wa mbolea aina ya Super Grow

Mhina Martin

Senior Member
Apr 3, 2017
143
183
Habari wa kulima wenzangu ambao umewahi kutumia mbolea aina ya SUPER GROW,

Naomba ufafanuzi, Ubora Wake, changamoto zake je imeleta matokeo chanya shambani kwako Kwa zao Gani Na sasa upatikanaji wa super grow original wake ukoje na Bei Kwa litre Au Kwa dumu la litre Tano inauzwaje?

Nakaribisha michango kwa wazoefu
 
Nasubiria wadau nione wanasemaje ila nacho jua mm kidogo super grow inafanya vizuri kwenye mazao ya bustani
 
Pia kwa wazoefu wa kilimo mliotumia viatilifu pamoja na buster mbali mbali naomba mshee nasi zipi kampun Ziko vizuri Kwa matokeo chanya shambani Na Kwa mazao yapi
 
Super grow ni mbolea nzuri.
Kwenye kilimo cha nyanya nilikuwa natumia Super grow na vegimax tu kama mbolea za kwenye majani.
Lakini usiache kutumia mbolea za chini.
 
Super grow ni mbolea nzuri.
Kwenye kilimo cha nyanya nilikuwa natumia Super grow na vegimax tu kama mbolea za kwenye majani.
Lakini usiache kutumia mbolea za chini.
Sawa Mkuu mbolea gani nzuri ya kukuzia kwenye mazao kama Mpunga Au maharage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…