amina ngalo JF-Expert Member Jun 13, 2013 309 170 Jan 23, 2017 #1 naomba kuuliza kuhusu story ya mvua wadau nasikia wajenzi wa barabara wana utaalamu waku fukuza mvua kwa kuipiga mabomu hii imekaaje kitaalamu kama mitambo wanayoitumia ni vilipuzi je ? wanashirikiana na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama au ??
naomba kuuliza kuhusu story ya mvua wadau nasikia wajenzi wa barabara wana utaalamu waku fukuza mvua kwa kuipiga mabomu hii imekaaje kitaalamu kama mitambo wanayoitumia ni vilipuzi je ? wanashirikiana na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama au ??
pistmshai JF-Expert Member Dec 12, 2016 1,313 3,683 Jan 23, 2017 #2 Hii dunia kweli inamatukio mengi ya kustaajabu! Ngoja nione na hili
M Mmwaminifu JF-Expert Member Oct 15, 2010 1,129 302 Jan 24, 2017 #5 Evelyn Salt said: Unataka kusemaje? Click to expand... Ndo nasubiri na mimi nijua anachomaanisha
sterter Member May 25, 2015 94 52 Jan 26, 2017 #6 Mvua haijanyesha muda mrefu ni kutokana na mabadiliko ya hali ya nchi