Hivi bado kuna treni ya Tabora-Mwanza?Me niliwahi kuhama kikazi kutoka Tabora kwenda Mwanza nilipiga hesabu kusafirisha kwa gari ikawa gharama kubwa amost 1M ila nilipakia vitu nikapeleka stesheni wakapima uzito nililipa 57,000 manake wanalipisha kwa kila wala hawana complication
Jibu lolote utakalopata hapa mwisho wake lazima uende ofisi za TRC, ningekushauri uende tu ofisini kwao.Hello great thinkers,
Kuna mwenye anajua utaratibu wa kusafirisha mizigo kwa kutumia treni, kutokea Dodoma hadi Dar?
Nmejaribu kupitia kwenye website yao sijapata majibu
Naomba mwenye maelekezo au idea anisaidie.
Asanteni
Ilikuwa mwaka gani mkuuMe niliwahi kuhama kikazi kutoka Tabora kwenda Mwanza nilipiga hesabu kusafirisha kwa gari ikawa gharama kubwa amost 1M ila nilipakia vitu nikapeleka stesheni wakapima uzito nililipa 57,000 manake wanalipisha kwa kila wala hawana complication
Yes ndo ile ile ya KigomaHivi bado kuna treni ya Tabora-Mwanza?
Ni ile ile ya kigoma?
Kikubwa nenda stesheni utapata maelekezo vizuri ila ni rahisi sana na salamaIlikuwa mwaka gani mkuu