Naomba kujuzwa kuhusu madaraja yanayojazwa kwenye leseni ya udereva

Mak Jr

JF-Expert Member
Nov 24, 2015
439
305
Wana JF naombeni mnijuze kuhusu madaraja anayojaziwa mtu kwenye lesen ya udereva.

Unakuta mtu anajaziwa daraja A,A2 bila kujaziwa A1 na A3, sasa je vyombo vya moto hujajaziwa huruhusiwi kuendesha??

iv je ni kweli kuwa ukiwa class C bila kujaziwa madaraja mengine inaruhusiwa kuendesha gar lolote??
 
Kimsingi lesen mpya zina elekeza kila clas na aina ya chombo.. mfano C..UMEwekewa bus kubwa ..kirefu chake ni mabasi ya abiria yote .. na E.. NI maroli ya mizigo n.k kwahyo sio ukiwa na C una ruhusiwa kuendesha kila gari ila ikiwa unacheti kinacho kuruhusu kupata C NI rahisi police kukupa class hata zote... mfano mimi nilipitia pale N.I T nilipo enda police kuhakikiwa nilijaziwa clas nilizo omba waniwekee nikapata clas 9....yaan..A, A1, B, C, C1, C2, C3, E, D,...sijui kama nimekujibu....vizuri ngoja waje wengine
 
Hujakosea mkuu upo sahihi
 
Nashkur kwa majibu yako mazur. Inachukua muda gan kupitia mafunzo apo NIT na gharama zake ni kias gan??.
 
Nashkur kwa majibu yako mazur. Inachukua muda gan kupitia mafunzo apo NIT na gharama zake ni kias gan??.
Sharti kuu lazima uwe na leseni class C.au E yenye mda usio pungua miaka 2. Mda inategemea na koz unayo taka mimi nilichukua PSV..PASENGER SERVICE VEHCLE ..something like that kama sijakosea kirefu chake...ni wiki 2 kama sio tatu hiv hutegemea na uwingi wa watu kwenye intek husika....gharama ilikua ni kama laki 3 kasolo hyo ilikua 2012 sijui kwa sasa....jaribu kuwatembelea....asante....
 
Umejijibu mwenyewe, daraja ambalo hujajaziwa hutaendesha, daraja c linahusu magari ya abiria mfano hiace, coaster na bus kibwa. Ukipewa C , inaitwa c flat means unaruhusiwa kuendesha gari zote za abiria
 
 
Umejijibu mwenyewe, daraja ambalo hujajaziwa hutaendesha, daraja c linahusu magari ya abiria mfano hiace, coaster na bus kibwa. Ukipewa C , inaitwa c flat means unaruhusiwa kuendesha gari zote za abiria
Nashkur sana
 
Angalau ni nmepata mwanga juu ya haya mambo nlikuwa sijui kabisa
 
kwa hapo mkuu ni kwamba kuna madaraja huna mfano A2 ambayo kwa ajili bajaji, A3 pia huna.
Je ukitaka kujaziwa madaraja hayo nayo itakuhitaji uende tena NIT ukatoe laki 3 kasoro usome tena?????
sorry kwa usumbufu maana nataka kwenda uko ndo maana nauliza kwa kina.
 
Kimsingi NIT ni kwa magari ya abiria, wote waliokuwa daraja c zamani walipokwenda ku-renew walishushwa daraja kwenda E baada ya kutolewa utaratibu wa kwenda kusoma NIT miaka minne ilopita, hivyo madaraja haya madogo mengine sio lazima uende NIT, kwa mfano unapoenda chuo chochote cha mafunzo ya uendeshaji wa vyombo vya moto waweza kupewa hadi daraja E yaani kuendesha malori, rejea copy ya leseni hapo juu
 
Saaf sana mkuu nmekuelewa!!
thanx!!
 
Kweli a3. Sina lakin hebu tujiulize tuu kama nimepewa class A.ambayo ni ya pikipik kubwa kabisa sasa kunahaja gani ya kuijaza na hyo ndogo ya ki baiskel pikpik? Ila atakae pewa hyo a3 hawezi kuendesha kubwa... samesame kwa class C. KAMA una C kav hata usipojaziwa zile C nyingine utaruhusiwa kuendesha mabasi yote kubwa na ndogo ila kama ukiwa nayo C 1,2, au3, huwezi kuendeshe marcopollo eti uende sumbawanga....umenisoma... kimsingi uki pass mitihani ya NIT taarifa zako zinatumwa police sasa police ndio wanakujazia class kulingana na koz uliyosoma ila kuwekewa clases nying kunataka kujiongeza kwako......asante.....
 
Nimekupata mkubwa
 
Mkuu kwa mafunzo ya udereva kupata leseni daraja C,C1,C2&C3 mafunzo yake pia hutolewa na Vyuo vya VETA pia hivyo kama upo nje ya Dar-es-salaam nenda kwenye chuo cha VETA kama upo Mikoani kupata maelezo zaidi ya kujiunga na mafunzo hayo.
 
Veta umesoma kozi gani Mkuu Psv au Udereva wa Awali? Class E ina mizengwe sana kuipata kwa wakati huu,Kama una kasalio kidogo ka maji ya kunywa wahusika amka mapema kesho kachukue E yako.
 
Mkuu kwa mafunzo ya udereva kupata leseni daraja C,C1,C2&C3 mafunzo yake pia hutolewa na Vyuo vya VETA pia hivyo kama upo nje ya Dar-es-salaam nenda kwenye chuo cha VETA kama upo Mikoani kupata maelezo zaidi ya kujiunga na mafunzo hayo.
Hivi VETA na NIT kipi ni chuo bora kusomea udereva?
 

Ni vigezo gani au leseni dataja gani dereva anatakiwa kuwa nalo ili aweze kuruhusiwa kusomea leseni daraja C1,C2,C3 &C???....
 

Nina rafki yngu ambae taarifa zke kwenye leseni zilikosewa...mfano jina lake lilikosewa(typing error) pamoja na sehem anapoishi....iv muda ukifika wa kure-new anaruhusiwa kurekebisha taarifa zake kwenye leseni????..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…