MUSA2021 Member Jul 15, 2021 7 2 Sep 9, 2021 #1 Naomba anaejua namna ya kuflash simu kwa kutumia kompyuta anisaidie nitumie app gani?? Niko bush nataka nianze hii ishu. Msaada please.
Naomba anaejua namna ya kuflash simu kwa kutumia kompyuta anisaidie nitumie app gani?? Niko bush nataka nianze hii ishu. Msaada please.
Hazchem plate JF-Expert Member Feb 25, 2011 11,048 15,456 Sep 9, 2021 #4 MUSA2021 said: Natumia infinix hot 8 kaka Click to expand... Tafuta SP flashtool na kisha tafuta Scatter file la hiyo simu yako. Ukifanikiwa kuflash simu yako itapotez emei Hakukisha emei unazo kabla ya kuflash
MUSA2021 said: Natumia infinix hot 8 kaka Click to expand... Tafuta SP flashtool na kisha tafuta Scatter file la hiyo simu yako. Ukifanikiwa kuflash simu yako itapotez emei Hakukisha emei unazo kabla ya kuflash
Alex Muta Senior Member Apr 26, 2013 154 44 Sep 10, 2021 #5 Kuna yeyote humu awe Mbeya au Songwe anaeweza kuroot infinix?
Ramlis JF-Expert Member Aug 22, 2013 604 521 Sep 10, 2021 #6 MUSA2021 said: Naomba anaejua namna ya kuflash simu kwa kutumia kompyuta anisaidie nitumie app gani?? Niko bush nataka nianze hii ishu. Msaada please. Click to expand... Jifunze kwanza kabla haujaanza kazi la sivyo utaharibu.
MUSA2021 said: Naomba anaejua namna ya kuflash simu kwa kutumia kompyuta anisaidie nitumie app gani?? Niko bush nataka nianze hii ishu. Msaada please. Click to expand... Jifunze kwanza kabla haujaanza kazi la sivyo utaharibu.