shoomyabrah
Member
- Aug 14, 2014
- 5
- 5
Tafuta kampuni ya ujenzi/wasanifu majengo. Watakwambia kila kitu.Habari za humu wakuu,
Hivi gharama rasmi za ujenzi wa ghorofa za economic apartment zikiwa rosheni 8 mpka 10 znaeeza kukadiriwa kwa kias gaan?
Hivi hapa bongo tuna contractors wazuri wenye specialty ya kujenga nyumba za middle class. Here I mean kama 3;4:5 storey apartments? How about Chinese companies?Tafuta kampuni ya ujenzi/wasanifu majengo. Watakwambia kila kitu.
Wapo wengi tu Wazalendo. Hata hao wa awamu wapo. Mnakubaliana kila stage unawalipa kiasi gani.Hivi hapa bongo tuna contractors wazuri wenye specialty ya kujenga nyumba za middle class. Here I mean kama 3;4:5 storey apartments? How about Chinese companies?
Would love to know them kama wapo.
Vipi kuhusu ujenzi, unaweza weka contractor na mkakubaliana kujenga kwa awamu? Yaani kila ukipata cash anafanya kazi?
Hechy Essy Glenn funzadume
Can you share details here..of those you know? Information is power.Wapo wengi tu Wazalendo. Hata hao wa awamu wapo. Mnakubaliana kila stage unawalipa kiasi gani.
Mpaka nizitafute kwasababu sijawahi kuwa na project ya aina hio ila najua watu waliofanya za kwao.Can you share details here..of those you know? Information is power.
Si unajua kibongokibongo.. trust ipo in short supply…
Thanks chief..Iam interested to explore.Mpaka nizitafute kwasababu sijawahi kuwa na project ya aina hio ila najua watu waliofanya za kwao.
Hao wanaudalali ndani yake unalipa agent fee alaf wanakwambia wakujenge wakat tayari washakua na interest zao kweny mladiTafuta kampuni ya ujenzi/wasanifu majengo. Watakwambia kila kitu.
Maana yangu kusema atafute kampuni ni kwasababu project ya ghorofa nne au tano huwezI kujenga kama nyumba zetu za kaWaida. Hio hata wasimamia sheria wanafuatilia.Hao wanaudalali ndani yake unalipa agent fee alaf wanakwambia wakujenge wakat tayari washakua na interest zao kweny mladi
NHC-Samia Housing pale Kawe wanajenga wakandarasi wazawa kabisa.Hivi hapa bongo tuna contractors wazuri wenye specialty ya kujenga nyumba za middle class. Here I mean kama 3;4:5 storey apartments? How about Chinese companies?
Would love to know them kama wapo.
Vipi kuhusu ujenzi, unaweza weka contractor na mkakubaliana kujenga kwa awamu? Yaani kila ukipata cash anafanya kazi?
Hechy Essy Glenn funzadume
Ingia google, tafuta kampuni inaitwa Swahiliunits. Kuna Resto designs pia.Can you share details here..of those you know? Information is power.
Si unajua kibongokibongo.. trust ipo in short supply…
Kama unataka kazi iliyonyooka, bila utapeli na unaweza jengewa mradi wako ukaisha malipo yakafata baadae mdogo mdogo ingawa mradi wanakuwa hawajakupa. Tumia ESTIM CONSTRUCTIONHivi hapa bongo tuna contractors wazuri wenye specialty ya kujenga nyumba za middle class. Here I mean kama 3;4:5 storey apartments? How about Chinese companies?
Would love to know them kama wapo.
Vipi kuhusu ujenzi, unaweza weka contractor na mkakubaliana kujenga kwa awamu? Yaani kila ukipata cash anafanya kazi?
Hechy Essy Glenn funzadume
Mkuu asante. Jamaa nimewacheck online inaonekana ni kampuni imesimama.Kama unataka kazi iliyonyooka, bila utapeli na unaweza jengewa mradi wako ukaisha malipo yakafata baadae mdogo mdogo ingawa mradi wanakuwa hawajakupa. Tumia ESTIM CONSTRUCTION
Yan huna mchoro au plan yoyote unataka upewe gharama?Habari za humu wakuu,
Hivi gharama rasmi za ujenzi wa ghorofa za economic apartment zikiwa rosheni 8 mpka 10 znaeeza kukadiriwa kwa kias gaan?
Tafuta wataalam wamejaa tele watakushauri kila kitu, yupo Eng. Benny mtembelee facebook, wapo ramadhan builders, swahili units, dutan housing, na wengine weeeeeengi,Habari za humu wakuu,
Hivi gharama rasmi za ujenzi wa ghorofa za economic apartment zikiwa rosheni 8 mpka 10 znaeeza kukadiriwa kwa kias gaan?
Estim ni kampuni kubwa hilo si ndio wamejenga barabara za kimara to kibaha hilo ni kampuni la tenda nzito nzitoMkuu asante. Jamaa nimewacheck online inaonekana ni kampuni imesimama.
Ngoja nitawatembelea kuwajua zaidi.
Kama una info zaidi weka hapa wengi wafaidike pia.
Kampuni kubwa hazichagui kazi. As long as the project is viable and the client can pay. Ni Kama mchina. Hachagui kazi.Estim ni kampuni kubwa hilo si ndio wamejenga barabara za kimara to kibaha hilo ni kampuni la tenda nzito nzito
Ni kampuni isiyo na mbambamba na kazi zao ni uhakika pia hawana mambo za 10%. Hawachagui kazi hata iwe ya Room 2 wanakujengea tu. Kikubwa waaaminiMkuu asante. Jamaa nimewacheck online inaonekana ni kampuni imesimama.
Ngoja nitawatembelea kuwajua zaidi.
Kama una info zaidi weka hapa wengi wafaidike pia.