Naomba kujuzwa gharama za ujenzi wa ghorofa za apartment

shoomyabrah

Member
Aug 14, 2014
5
5
Habari za humu wakuu,

Hivi gharama rasmi za ujenzi wa ghorofa za economic apartment zikiwa rosheni 8 mpka 10 znaeeza kukadiriwa kwa kias gaan?
 
Tafuta kampuni ya ujenzi/wasanifu majengo. Watakwambia kila kitu.
Hivi hapa bongo tuna contractors wazuri wenye specialty ya kujenga nyumba za middle class. Here I mean kama 3;4:5 storey apartments? How about Chinese companies?

Would love to know them kama wapo.

Vipi kuhusu ujenzi, unaweza weka contractor na mkakubaliana kujenga kwa awamu? Yaani kila ukipata cash anafanya kazi?

Hechy Essy Glenn funzadume
 
Wapo wengi tu Wazalendo. Hata hao wa awamu wapo. Mnakubaliana kila stage unawalipa kiasi gani.
 
Can you share details here..of those you know? Information is power.

Si unajua kibongokibongo.. trust ipo in short supply…
 
Mpaka nizitafute kwasababu sijawahi kuwa na project ya aina hio ila najua watu waliofanya za kwao.
 
Hao wanaudalali ndani yake unalipa agent fee alaf wanakwambia wakujenge wakat tayari washakua na interest zao kweny mladi
Maana yangu kusema atafute kampuni ni kwasababu project ya ghorofa nne au tano huwezI kujenga kama nyumba zetu za kaWaida. Hio hata wasimamia sheria wanafuatilia.
 
Hivi hapa bongo tuna contractors wazuri wenye specialty ya kujenga nyumba za middle class. Here I mean kama 3;4:5 storey apartments? How about Chinese companies?

Would love to know them kama wapo.

Vipi kuhusu ujenzi, unaweza weka contractor na mkakubaliana kujenga kwa awamu? Yaani kila ukipata cash anafanya kazi?

Hechy Essy Glenn funzadume
NHC-Samia Housing pale Kawe wanajenga wakandarasi wazawa kabisa.
 
Hivi hapa bongo tuna contractors wazuri wenye specialty ya kujenga nyumba za middle class. Here I mean kama 3;4:5 storey apartments? How about Chinese companies?

Would love to know them kama wapo.

Vipi kuhusu ujenzi, unaweza weka contractor na mkakubaliana kujenga kwa awamu? Yaani kila ukipata cash anafanya kazi?

Hechy Essy Glenn funzadume
Kama unataka kazi iliyonyooka, bila utapeli na unaweza jengewa mradi wako ukaisha malipo yakafata baadae mdogo mdogo ingawa mradi wanakuwa hawajakupa. Tumia ESTIM CONSTRUCTION
 
Mkuu asante. Jamaa nimewacheck online inaonekana ni kampuni imesimama.
Ngoja nitawatembelea kuwajua zaidi.
Kama una info zaidi weka hapa wengi wafaidike pia.
 
Habari za humu wakuu,

Hivi gharama rasmi za ujenzi wa ghorofa za economic apartment zikiwa rosheni 8 mpka 10 znaeeza kukadiriwa kwa kias gaan?
Tafuta wataalam wamejaa tele watakushauri kila kitu, yupo Eng. Benny mtembelee facebook, wapo ramadhan builders, swahili units, dutan housing, na wengine weeeeeengi,
 
Mkuu asante. Jamaa nimewacheck online inaonekana ni kampuni imesimama.
Ngoja nitawatembelea kuwajua zaidi.
Kama una info zaidi weka hapa wengi wafaidike pia.
Estim ni kampuni kubwa hilo si ndio wamejenga barabara za kimara to kibaha hilo ni kampuni la tenda nzito nzito
 
Kampuni kubwa hazichagui kazi. As long as the project is viable and the client can pay. Ni Kama mchina. Hachagui kazi.
 
Mkuu asante. Jamaa nimewacheck online inaonekana ni kampuni imesimama.
Ngoja nitawatembelea kuwajua zaidi.
Kama una info zaidi weka hapa wengi wafaidike pia.
Ni kampuni isiyo na mbambamba na kazi zao ni uhakika pia hawana mambo za 10%. Hawachagui kazi hata iwe ya Room 2 wanakujengea tu. Kikubwa waaamini
 
Back
Top Bottom