Naomba kujuzwa dawa ya kutibu Minyoo tegu!

MwanawaMUNGU41

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
1,036
737
Habari wanajukwaa,

Tafadhali anayejua dawa nzr ya kutokomeza kabisa minyoo tegu anisaide,inamsumbua sana binti yangu, nimeenda hospital mwanangu anapewa dawa na baada ya muda anawaona kwenye kinyesi, tafadhali nisaidieni.
 
Pole kwa hko kpngele mkuu.., mimi nmebobea zaid katika dawa za asili. Kuna miti kama mitatu hivi amabyo inamalza kabsa hlo tatizo na minyoo kwa mtoto wako itabaki kuwa history. Inatgmea upo mkoa gani ili tuangalie upatikanaj rahisi wa hyo miti. Akhsante.
 
Niko Dar es salaam
Utachemsha majan kwa ujazo wa nusu lita. Utampa mtot morn kabla hajala chchte kwa ujazo wa robo lita.

Then uck kbla ya kla chchte utampa robo ilyobakia kwa mda wa wik1. Tatizo litakuwa limeisha.

Ulete ushuhuda hapa kwa manufaa ya watu wengine pia. Asante
IMG_20230804_122157_163.jpg
 
Tafuta dawa inaitwa Niclosamide au Yomesan....Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom