Naomba kujua vigezo vya kujiunga na basic tachinician certificate

rickb

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
293
149
Habari wanajamvi. Polen na majukumu ya kutwa, naomba kwa anayefahamu vigezo vya kujiunga na basic technician certificate in community work with children and youth

Naheshimu mawazo yenu.
Natanguliza shukran za dhati wakuu.
 
Kuna tofauti gani kati ya basic certificate na basic technician certificate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…