Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,489
kwa taratibu za awali.. ilikuwa unajaza fomu na kupiga fingerprints na unaambatanisha na copies hitajika na picha na old passpt unalipia 50kHabari za saahizi wakuu. Poleni na mjadala wa kipaumbele kipya (unga) cha taifa.
Nipo Mwanza na ninataka kuhuisha (renew) hati yangu ya kusafiria. Utaratibu unakuwaje, na gharama zake.
Muda umeisha tu. Asante kwa ushauri.Nenda migration office yeyote tu ukaulizie Mkuu..kwani muda wake umeisha au imepotea
Hawatumii details zako zilizopo kwenye data base yao?, Kama wafanyavyoTRA kwenye kuhuisha leseni ya udereva.kwa taratibu za awali.. ilikuwa unajaza fomu na kupiga fingerprints na unaambatanisha na copies hitajika na picha na old passpt unalipia 50k
unawakabidhi uhamiaji.. baada ya siku kadhaa unapokea New book!!
Never !!Hawatumii details zako zilizopo kwenye data base yao?, Kama wafanyavyoTRA kwenye kuhuisha leseni ya udereva.
Asante mkuu. Sikuhizi haina longolongo?, na yaweza chukua siku ngapi kwa Mwanza?Never !!
hii ni P/P usalama zaidi !!
Naomba ufike ofisi za uhamiaji mwz nafhani pale steshen...Asante mkuu. Sikuhizi haina longolongo?, na yaweza chukua siku ngapi kwa Mwanza?
Nadhani inabidi uende polisi ukatoe taarifa ya kupotelewa na hati ya kusafiria. Ukiwa na picha 2, na shilingi elfu mbili. Polisi watakupa barua ya kuonyesha umepotelewa na hati yako. Hiyo barua ndo utawasilisha uhamiaji ili zifanyike taratibu za kupata hati nyingine. Pale polisi kumbuka kwenda na chenji kamili ya elfu mbili.Pasport yangu ilipotea baada kuchanganyikiwa alipokufa mke wangu 2009, sikumbuki hata no yake wala copy yake sina. niliipata 2006 na ilikuwa inaishia 2016, hapa nikitaka kupata nyingine nitatumia utaratibu gani? nilikuwa sijawahi kusafiria.
Unatakiwa na kuwa na Pasipoti ya zamani halafu unakwenda ofisi ya Uhamiaji unajaza fomu za maombi na ku-attach picha nne za pasipoti na kuandika barua ya kuomba kubalishiwa pasi mpya kwa Kamishna Jenerali. Hakuna kingine zaidi ya kulipia na kuondoka ukisubiria pasi yako mpya. Mengine ni ushawishi wa kuvunja sheriaHabari za saahizi wakuu. Poleni na mjadala wa kipaumbele kipya (unga) cha taifa.
Nipo Mwanza na ninataka kuhuisha (renew) hati yangu ya kusafiria. Utaratibu unakuwaje, na gharama zake.