mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,967 6,463 Jan 20, 2016 #1 Zamani MTU akiwa na kipara ni tajiri , walitumia kigezo gani hawa mababu?
Radhia Sweety JF-Expert Member Aug 10, 2011 4,433 1,768 Jan 20, 2016 #2 Walitumia kigezo cha kunywa juisi ya ubuyu
P PhD JF-Expert Member Jul 15, 2009 4,666 3,838 Jan 20, 2016 #3 kama kipara utajiri basi kinana angekuwa bil gates
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,967 6,463 Jan 20, 2016 Thread starter #4 Ila Kinana level nyingine MKUU
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Feb 11, 2014 13,997 15,111 Jan 20, 2016 #5 mbere said: Zamani MTU akiwa na kipara ni tajiri , walitumia kigezo gani hawa mababu? Click to expand... Ni hivi ndg... Zamani idadi ya wenye vipara ilikuwa ndogo sana ktk jamiii!! Tofauti na asiri hii idadi ya vpara imeongezeka kiasi kikubwa zaidi!! Sababu ni tatu zinazo pelekesha kuondokwa na nywele kichani (Upara) :- 1 Lifestyle 2. Stressz 3.Urithi... Sasa Utajiri unahusianajee na upara ?
mbere said: Zamani MTU akiwa na kipara ni tajiri , walitumia kigezo gani hawa mababu? Click to expand... Ni hivi ndg... Zamani idadi ya wenye vipara ilikuwa ndogo sana ktk jamiii!! Tofauti na asiri hii idadi ya vpara imeongezeka kiasi kikubwa zaidi!! Sababu ni tatu zinazo pelekesha kuondokwa na nywele kichani (Upara) :- 1 Lifestyle 2. Stressz 3.Urithi... Sasa Utajiri unahusianajee na upara ?
CleverKING JF-Expert Member Apr 24, 2014 8,502 25,469 Jan 20, 2016 #8 tang'ana said: Hvi Bill Gates ana kipara? Click to expand... hana Mkuu
Slim5 JF-Expert Member Jan 7, 2014 28,163 37,801 Jan 20, 2016 #10 mbere said: Zamani MTU akiwa na kipara ni tajiri , walitumia kigezo gani hawa mababu? Click to expand... nilikuja mbio, kumbe unazungumzia kipara hicho!
mbere said: Zamani MTU akiwa na kipara ni tajiri , walitumia kigezo gani hawa mababu? Click to expand... nilikuja mbio, kumbe unazungumzia kipara hicho!
Afro-Arabica JF-Expert Member Aug 27, 2013 1,107 492 Jan 20, 2016 #11 mbere said: Zamani MTU akiwa na kipara ni tajiri , walitumia kigezo gani hawa mababu? Click to expand... Umwnyi na zaidi wahindi ndo walikuwa vipara na wenye rasilimali kubwa.
mbere said: Zamani MTU akiwa na kipara ni tajiri , walitumia kigezo gani hawa mababu? Click to expand... Umwnyi na zaidi wahindi ndo walikuwa vipara na wenye rasilimali kubwa.
jagular JF-Expert Member Oct 26, 2015 424 245 Jan 20, 2016 #12 No cavity mbere said: Ila Kinana level nyingine MKUU Click to expand...