Naomba kujua tafsiri ya maneno haya kwa Kiswahili

remy_official

Member
Apr 13, 2017
27
14



Habari za mchana wanajf jaman naomba kujua tafsiri ya hizo pointi hapo kwenye picha naitaji kuziandika kwa Kiswahili nimeshindwa kuyaandika kwa Kiswahili hivyo naomba mwenye kujua maana yake kwa kiswahili naomba anipe tafsili yake.
 
Hiyo mbona ni kazi kubwa sana kiasi kwamba hakuna atakayekuwa tayari bila malipo.
 
Peleka BAKITA watakutafsiria kwa wao ni official authority katika fani hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…