Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,219
- 1,746
Habari za mchana,
Naomba mnielekeze namna ya kuonana na Maofisa wa Waziri Mchengerwa huko Dodoma.
Mnielekeze pia nianzie wapi namna ya kuweka appointment au urahisi wa kuonana na Waziri Mchengerwa kabisa bila ya appointment.
Ni jinsi gani ya kupambana na vizuizi vya watakaotaka nisifanikiwe kuonana nae nk.
Lengo langu ni zuri ikishindikana nitajivalisha mabango mwili mzima yanayoeleza shida ya kuonana nae na kujianika mitandao yote.
Naomba mnisaidie wote wapenda maendeleo.