Naomba kujua mshahara wa daktari kwa ngazi ya Diploma

Haufai kuangalia maslahi kwa taaluma yako ya udaktari,imagine unamkuta mgonjwa mlalahoi kazidiwa je utaweza kumsaidia kweli,Jamani hizi taaluma lazima muwe na utu kutoka moyoni
 
1584072385370.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom