Naomba kujua kutoka kwenu

Dignah

Member
Jan 26, 2022
31
47
Poleni na Majukumu wana JF
Nilikuwa naomba kujua kutoka kwenu, kuna mdogo wangu amepata kazi kwenye kitengo cha “STOCK AUDIT & MANAGEMENT “ hivyo hajawahi kufanya hii kitu so nilikuwa naomba msaada kutoka kwenu je Stock audit na accountant wa ofis ni watu tofauti? na je stock audit na accountant kwenye ofis nani mkubwa kwenye cheo? Pia naomba mwenye ujuzi wa hayo mambo naomba msaada kutoka kwake🙏
 
Aingie google the search yafuatayo.

Stock Market

Stock Exchange

Financial Markets

Financial Products
 
Huu mda uliotumia kuandika hapa, ungeingia Google usome upate taarifa kwa undani ! Hizo simu janja mnazifanyia nini ? Tiktok tu mnajua ? Ama kwenda location na kupost WhatsApp status
 
Poleni na Majukumu wana JF
Nilikuwa naomba kujua kutoka kwenu, kuna mdogo wangu amepata kazi kwenye kitengo cha “STOCK AUDIT & MANAGEMENT “ hivyo hajawahi kufanya hii kitu so nilikuwa naomba msaada kutoka kwenu je Stock audit na accountant wa ofis ni watu tofauti? na je stock audit na accountant kwenye ofis nani mkubwa kwenye cheo? Pia naomba mwenye ujuzi wa hayo mambo naomba msaada kutoka kwake🙏
kwenye orientation atapata kufahamu yote hayo ikiwa atauliza na kutaka kujua zaid.

aache kubabaika na masuala ya vyeo na ukubwa wa idara au ofisi. aende kufanya kazi kwa maslahi mapana ya umma 🐒
 
🤣🤣🤣Umekuwaje sikuhizi eti?
Dada habari
20241112_122416.jpg
 
Back
Top Bottom