Unahitaji elimu-msingi ya uraia. Haya siyo masuala ya kujadili hapa JF bali kufundishwa na walimu wa somo la uraiaNaomba kujua kazi za katibu tawala,naomba kufahamu kazi ya KATIBU tawala wa mkoa, na tofauti ya mkuregenzi wa maendeleo wa mkoa.pia kama kuna KATIBU tawala he mwenyekiti tawala ni nani katika mkoa.wanaofaham nisaidieni
Katibu tawala ndio mtendaji na afisa maduhuli wa mkoa.yupo chini ya mkuu wa mkoa,hana nafasi ya kisiasa yeye ni kila kitu mkoani watumishi wote wa serikali kuu mkoani wapo chini yake.hakifanyiki kitu mkoani bila yeye.Kama wajua naomba unisaidie mkuu sikusoma elimu ya uraia
Mkurugenzi yeye ni wa serikali za mitaa katika manispaa husika.mfano mkurugenzi manispaa ilala,yeye ndio kila kitu na anakua katibu wa kikao cha madiwani.walimu,manesi na wengine waliopo katika manispaa wote wapo chini yakeKama wajua naomba unisaidie mkuu sikusoma elimu ya uraia
Aulizaye ataka kujua na pia kuna wengine waliruka madarasa.Unahitaji elimu-msingi ya uraia. Haya siyo masuala ya kujadili hapa JF bali kufundishwa na walimu wa somo la uraia
Ni kupeana vyeo tu. Mkoa mmoja una :Naomba kujua kazi za katibu tawala,naomba kufahamu kazi ya KATIBU tawala wa mkoa, na tofauti ya mkuregenzi wa maendeleo wa mkoa.pia kama kuna KATIBU tawala he mwenyekiti tawala ni nani katika mkoa.wanaofaham nisaidieni
Ni kupeana vyeo tu. Mkoa mmoja una :
Mkuu wa mkoa
Katibu Tawala wa mkoa
Afisa Usalama wa taifa
Hao wapo mkoani wakati kila wilaya ina:
Mkuu wa wilaya
Katibu Tawala wa Wilaya
Mkurugenzi wa halmashauri
Mwenyekiti wa halmashauri
nk
Jibu zuri sana hili!Unahitaji elimu-msingi ya uraia. Haya siyo masuala ya kujadili hapa JF bali kufundishwa na walimu wa somo la uraia
Good explanation acha wengine ambao kazi yao n kubeza tuKwa kifupi sana ngoja nikusaidie kidogo.
Kwa sasa hivi kwa mujibu wa Muundo wa Serikali za Mikoa hakuna Cheo cha Mkurugenzi wa Maendeleo wa Mkoa,
Cheo hicho kilifutwa mwaka 2002 ambapo kikaanzishhwa cheo cha Katibu Tawala Wa Mkoa.
Story ya ( Wakurugenzi wa Mikoa ma RDD ni ndefu sana Wilayani kulikuwa kunawatu wanaitwa ma DDD, Kulikuwa hakuna Wakurugenzi wa Halmashauri hao ndio walikuwa wanafanya shughuli zote za maendeleo mikoani na wilayani).
Katibu Tawala wa mkoa ndiye masaidizi na mshauri mkuu wa mkuu wa mkoa na ndiye mtendaji mkuu kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa ambapo ni msimamizi mkuu/afisa masuhuli wa fedha zinazotengwa kwa ajili ya matumizi ya ofisi ya mkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya.na mganga mkuu wa mkoa.
Wilayani msaidizi na mshauri mkuu wa mkuu wa wilaya ni katibu tawala wa wilaya ambaye anaripoti kwa katibu tawala wa mkoa kiutendaji.
Kazi kubwa ya Mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya ni kusimamia shughuli zote za maendeleo ya na usalama wa mkoa/ wilaya wake kwa niaba ya Raisi, Wilayani Wakuu wa Mikoa wanasaidiwa na Wakuu wa Wilaya kufanya kazi hizo.
Katibu tawala wa mkoa anamsaidia mkuu wa mkoa kazi akiwa na timu ya wasiidizi wake wanaoitwa makatibu tawala wasiidizi. saba.
Ofisi za Wakuu wa mikoa zinasimamia moja kwa moja ofisi za wakuu wa wilaya na ofisi ya Mganga mkuu wa mkoa na hospitali za mkoa.
Kimsingi ofisi ya mkuu wa mkoa ni ofisi ya kutoa huduma na kusiamamia shughuli za maendeleo za mikoa ambazo zinafanywa na halmashuri. ambapo kuna wakurugenzi wa halmashauri na madiwani.
ambao nao wanatumiwa fedha zao ambazo maafisa masuuli wake ni wakurugenzi wa halmashauri.
Kimsingi bajeti za ofisi za wakuu wa mikoa kwa kiasi kikubwa ni mishahara ambayo inalipwa moja kwa moja na hadhina kila mwezi, pia wanatumiwa fedha kwa ajili ya shughuli za ufuatiliaji na uendwshaji wa ofisi kila mwezi kadri makusanyo ya serikali yanavyopatikana.
Mkuu wa Mkoa anashirikiana na kuvisimamia vyombo vya usalama kupitia kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa ambapo yeye ndiye mwenyekiti , katibu anakuwa rso wajumbe ni katibu tawala mkoa,wakuu wote wa vyombo vya usalama kama jeshi la wananchi, uhamiaji, polisi, magereza,takukuru, vyombo hivyo ambavyo pia vinaripoti na kuwajibika moja kwa moja kwa wakuu wa taasisi zao.
Wizara ya TAMISEMI ndiyo inaratibu na kusimamia utendaji wa ofisi za wakuu wa mikoa Tanzania nzima.
Bajeti za wakuu wa mikoa kama za wakurugenzi wa halmashauri zilikuwa zinasomwa kupitia ofisi ya waziri mkuu tamisemi,
kwa sasa shughuli zote za tamisemi zimehamishiwa ofisi ya raisi inaitwa ofisi ya raisi tamisemi
Kwa undani zaidi tafuta sheria inayoitwa Sheria Na. 19 ya mwaka 1997 Sheria ya Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa
Asante sana ndugu yanguKwa kifupi sana ngoja nikusaidie kidogo.

Asante nduguMkurugenzi yeye ni wa serikali za mitaa katika manispaa husika.mfano mkurugenzi manispaa ilala,yeye ndio kila kitu na anakua katibu wa kikao cha madiwani.walimu,manesi na wengine waliopo katika manispaa wote wapo chini yake
Bado mstahiki meya.Na Dar jumlisha meya na naibu meya wa kila halmashauri
halafu kuna meya na naibu meya wa jiji.....
hii nchi full maigizo
Halafu na wewe uko jamiiforums kutafuta nini? swali lako ni sawa na kuuliza watu wa JF eti 5mara5 ni ngapi? kweli? Jamiiforums is reduced to a Standard seven level because is now full of members of your type. What do we benefit from you anyway?Nendeni huko facebook.Naomba kujua kazi za katibu tawala,naomba kufahamu kazi ya KATIBU tawala wa mkoa, na tofauti ya mkuregenzi wa maendeleo wa mkoa.pia kama kuna KATIBU tawala he mwenyekiti tawala ni nani katika mkoa.wanaofaham nisaidieni
Mkuu unaona shida gani mtu akihitaji kujua kuhusu jambo fulani?Huu ni mtandao wa kijamii na watu wanakuja humu kupata taarifa, kuelimika na kueleimisha.Tabia hii ya unoko au "nikijua mimi basi hakuna hja ya mwingine kujua" au "kama hujui huna haja ya kujulishwa" ni mbaya mbaya mbaya sana na sio kielelezo cha utu wema.Halafu na wewe uko jamiiforums kutafuta nini? swali lako ni sawa na kuuliza watu wa JF eti 5mara5 ni ngapi? kweli? Jamiiforums is reduced to a Standard seven level because is now full of members of your type. What do we benefit from you anyway?Nendeni huko facebook.