steve emile
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 231
- 584
Ya bure ni ipiPopcorn App au kuna cracKed netflix wanauza wana
Popcorn App au kuna cracKed netflix wanauza wana
Test hii, then ulete mrejesho. Nina imami utaifurahia.App gani bora kuangalia movie online?
View attachment 1716392
Sent from my ACCESS55 Pro using JamiiForums mobile app
Naona iko poa, thought dizain kama nzito hvi, yaan kuproces movi inaload sana.Test hii, then ulete mrejesho. Nina imami utaifurahia.
Inawezekana....Naona iko poa, thought dizain kama nzito hvi, yaan kuproces movi inaload sana.
Nadhan simu pia inachangia, huwa natumia player ya app hii moja kwa moja.Inawezekana....
Ila kwangu mimi iko na spidi nzuri tu.
Huwa natumia player inaitwa ' One player'
App gani bora kuangalia movie online?
View attachment 1716392
Sent from my ACCESS55 Pro using JamiiForums mobile app
NETFLIX
😂😂😂😂 Haya. Mi natumia NetflixNetflix ni ya kulipia mkuu, wadau tunataka za free a. K. A vitonga.
Haya. Mi natumia Netflix
pesa ndogo sana. Usd 11.99 fanya Usd 12 tu kwa mwezi. unaenjoy Series, Movies na documentaries.Hvi kwa mwezi ni bei gan mkuu
Tuipeleke kibongo bongo, ni kama tsh ngp hpo.pesa ndogo sana. Usd 11.99 fanya Usd 12 tu kwa mwezi. unaenjoy Series, Movies na documentaries.
20,000 kwa 480p, 25,000 kwa full Hd na 30,000 kwa 4k.Hvi kwa mwezi ni bei gan mkuu