Naipuli
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 266
- 110
Poleni kwa majukumu waungwana;
Katika harakati za kufanya Windows shopping, nimekutana na hii TV, brand ya TOSHIBA, 40 inch, LED, FHD, siyo smart Tv, ambayo pamoja na mambo mengine, ina ports 2 za HDMI, 2 USB, etc.
Before nilikuwa nafikiria HISENCE kutokana na gharama zake kuwa chini kidogo compared na brands zingine kama LG, SAMSUNG, SONY etc.
Lkn baada ya kukutana na hiyo, nimeona inaweza kuwa ni option nyingine pia.
Naomba ushauri wenu tafadhali;
1. Ubora/uzuri wake na mapungufu yake ukilinganisha na HISENCE na brands zingine pia.
2. Inches 40 kwa bei ya around Laki 6 au chini ya hapo kidogo, kwa TV ambayo LED, FHD, not Smart, No 4K ni reasonable?
3. Kwa Budget hiyo, mnanishauri Brand ipi kwa TV yenye kuanzia 40 inches na kuendelea kama nitaachana na hiyo TOSHIBA?
CC: Chief-Mkwawa