Naomba kufahamu: Raia wa kawaida anaruhisiwa kumiliki 'Simu ya upepo' Radio Call?

Wakuu,

Wakati tunasherekea Sikukuu na kuisubiria "Tanzania ya Viwanda" naombeni kufahamu je Raia wa kawaida asiye katika kazi za kiusalama anaruhusiwa kumiliki Radio call 'simu ya upepo'? maana sijawahi ona mtu wa kawaida akimiliki.
awe nayo afu awasiliane na nani?
 
VIWANDA uchwara.
mkuu hilo neno la UCHWARA sikuhizi ni muhali kulitaja hadharani,wenyewe hawatakiii ati ni uchochezii,nataraji hata hapa jf litapigwa ban.maana mimi kila nikiandika neno flani alilotamka muheshimaiwa juu ya wale wanafuzi wa UDOM halitokei zinatokea nyotanyota tuuu.
 
Unaruhusiwa mkuu.. moja nyumbani kwako na nyingine unatembea nayo
 
Wakuu,

Wakati tunasherekea Sikukuu na kuisubiria "Tanzania ya Viwanda" naombeni kufahamu je Raia wa kawaida asiye katika kazi za kiusalama anaruhusiwa kumiliki Radio call 'simu ya upepo'? maana sijawahi ona mtu wa kawaida akimiliki.
Wanazo nyingi tu wauza simu kariakoo
 
Unakua nayo haina shida kabisaa na wala haziingiliani mawasiliano kwa maana kila sehemu kunakua na frequency zao za kuwasiliana.. So naamin yakiraia haiwez ikawa inakamata kwenye military frequency... So cdhan kama ni kes ww kuwa nayo..
 
Una utaalamu na hizi mambo mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…