Mkuu hilo tatizo ulilonalo hata mimi ninalo, nilienda selian hospital arusha mjini wakanipiga x ray, wakaniambia ni disk imepinda, hivyo wakanishauri niendelee kutumia dawa, pamoja na kufanya mazoezi, mazoezi wanakufanyia hapo hapo hospital, kwa kweli mpaka ss naendelea vizuri