kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 318
- 578
Wazee wa location samahani mwenye kujua hiki kijiji hasa huduma za kijamii, mzunguko wa pesa na huduma zingine kwa ujumla naomba anijuze nataka nikapige kambi huko katika harakati za kutafuta maisha.
Nahitaji A, B,C zenu waliowahi kuishi au kufika hapo
Nahitaji A, B,C zenu waliowahi kuishi au kufika hapo