Nina experience ya kusoma course zote hizo .lakini iliyonitoa Ni ICT .Computer engineering mnasoma sana mambo ya hardware Na electronics lakini ICT Ni wigo mpana sana kutokana Na unlimited wide Kwa upande wa software .
In short kama unataka course ya engineering kasome hata Umeme mojakwamoja .lakini kama Ni computer and related field kasome ICT.
Kibongobongo mambo ya hardware hayana soko sana .kwasababu hata hardware maintenance hawafanyagi wabongo lakini software ni uwezo wako wa kujinoa