Naomba kueleweshwa kuhusu tofauti kati ya Google na chrome ni ipi?

Ni sawa na kuuliza utofauti wa google na Gmail...Gmail ni huduma ya email inayotolewa na googl ,zipo kampuni NYINGINE kama Yahoo, Nokia, Microsoft zote hizo zina huduma ya email.

Hivyo basi , chrome ni kivinjari cha google kama vilivyo vivinjari vingine ,kama opemini ,Mozilla fox ,
 
Naomba mtu anieleweshe kuhusu hili, tena kwa ukali na ikiwezekana kunifokea kama mtoto mdog naweza mwelewa labda

Tofauti kati ya Google na chrome ni nini??
Google ni injini ya kutafutia taarifa mtandaoni, wakati Chrome ni application ya mtandao inayotumika kufikia huduma za Google. Mmoja ni huduma, mwingine ni programu.
 
Hapo ni kiswahili , Kingereza ni browser.
Kazi ya browser nini ?

Naelewa google ni search engine na chrome ni browser...Ila haya maelezo yanamaanisha nini utafauti wake nini?

Kipi google inafanya chrome haifanyi!
 
Google ni pana sana ,google ni kampuni ,inayo search engine inaitwa google Nyingine kama Yahoo na bing ni seqrch engine.

Browser au kivinjani ni kiunganishi kikuu ...Sasa unasemaje google na chrome ni tofauti ,chrome ni sehemu ya google ...Kipi ambacho kinafanya googl chrome haifanyi ...Mbona swali kama halipo🤣🤣.

Ndani ya chrome unaweza kutumia search engine nyingi kama yahoo na bing, nje ya google search engine yao.
 
Chrome ni sawa na sawa na Ardhi ambayo utaweka barabara juu yake na Google ni sawa na barabara ambayo itakupeleka kwenye mikoa(websites/tovuti) mbali mbali na chrome sio maalumu kwa google pekee kuna search engines nyingi na zote zinaweza ku-perform kwenye chrome
 
Google ni pana sana ,google ni kampuni ,inayo search engine inaitwa google Nyingine kama Yahoo na bing ni seqrch engine.

Browser au kivinjani ni kiunganishi kikuu ...Sasa unasemaje google na chrome ni tofauti ,chrome ni sehemu ya google ...Kipi ambacho kinafanya googl chrome haifanyi ...Mbona swali kama halipo🤣🤣.

Ndani ya chrome unaweza kutumia search engine nyingi kama yahoo na bing, nje ya google search engine yao.
I'm totally confused... let's call it a day.
 
wewe hujaelewa chrome na google ni vitu viwili tofauti ila katika utendaji kazi ingawa vyote vinamilikiwa na google company
 
I'm totally confused... let's call it a day.
Labda ujue google ni kampuni ,pia ujue search engine ni ipi ,browser ni ipi...Google anatumia bidhaa na huduma zake ndani kwa ndani ile Gemini ni yake pia ,inaitwa ''google gemini'' achana nq ChatGpt ..

Sio lazima utumie chrime zipo za Microsoft kama Microsoft edge pia ni kivinjari ..Hizi ni huduma zilikuwepo operamini na Mozillafox zinakapotea na
 
Back
Top Bottom