Naomba kuelekezwa kuhusu Samsung s7?

Raphael gadau

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
1,006
306
Ni baada ya kuzunguka kariakoo mtaa wa agrey kuitafuta s8 na kuikosa nimepata wazo ninunue s7 naomba kwa mlio bahatika Au mungu kuwajalia kuimiliki naomba kujui ipo vizuri kwa vitu vifuatavyo kamera, kutokuchemka wakati wa matumizi
Pia bila kusahau mfumo wa kubadili mwonekano wa maneno(mwandiko) ina system hiyo maana ni moja ya vitu ninavyo vipenda kutoka kwao Samsung.
 
Nilikuw nayo kweny camera ilikuw vzur san.ila kwasasa nimeigawa mana naona kama ishakuw ya kizaman
 
Mkuu usipate shida mpigie huyo hapo kwa hii link...Phone4Sale - Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…