Kabisa mkuu nimepata wasi wasi sababu bei za machine nyengine zipo juu sana kwa hii,nikaona nisikurupukeMhenga Mmoja aliwahi Kusema ' Bure Aghari' ....alichokuwa anamaanisha Sijui Ila bila shaka alikuwa anatahadharisha.!
Kuwa Makini na Vitonga..
EDON katika vacuum cleaner hayupo vizuri kabisa kama unaweza chukua brand ya GT SHAKTI ya INDIA zipo vizuri sana ,, EDON kajitahidi sana kwenye welding machine huku kwingine ni majanga kama angle grinders,lawn mowers ..etcHabari, wataalam nahitaji kununua vacuum cleaner, kuna moja inaitwa edon ya lita 30 na bei yake ni kitonga sana ndo nataka niichukue. So kabla sijachukua kwa wenye uzoefu na hizi machine naomba kupata abcs.
Okay shukran mzee, ngoja nichek hapoEDON katika vacuum cleaner hayupo vizuri kabisa kama unaweza chukua brand ya GT SHAKTI ya INDIA zipo vizuri sana ,, EDON kajitahidi sana kwenye welding machine huku kwingine ni majanga kama angle grinders,lawn mowers ..etc